#HABARI: ITV imeshuhudia vijana watatu ambao ni wa mtaani wakipigana katika Soko la Kimataifa la Kariakoo ambapo ni kinyume cha sheria.
Baadhi ya mashuhuda, wametoa maoni jinsi ya kuwatunza vijana hao.
#itvdigital #itvupdates #itvtanzania.
#follow @radioonetanzania