#HABARI: Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Kenya Douglas Kanja, ameomba radhi kwa kutoa ripoti isiyo sahihi kuhusu kifo cha Mwa…

#HABARI: Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Kenya Douglas Kanja, ameomba radhi kwa kutoa ripoti isiyo sahihi kuhusu kifo cha Mwa…

#HABARI: Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Kenya Douglas Kanja, ameomba radhi kwa kutoa ripoti isiyo sahihi kuhusu kifo cha Mwalimu na Mwanablogu Albert Ojwang, aliyepigwa na kuuawa kwenye selo za polisi. Huku Rais wa nchi hiyo, Mhe. William Ruto, ameahidi kuchukuliwa hatua kali kwa waliohusika na mauaji hayo.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *