#HABARI: Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Kenya Douglas Kanja, ameomba radhi kwa kutoa ripoti isiyo sahihi kuhusu kifo cha Albert Ojwang, ambayo aliipata kutoka Mamlaka Huru ya kiraia nchini Kenya (IPOA), ripoti hiyo ilionesha Marehemu Ojwang alijiumiza mwenyewe akiwa kizuizini.
Rais wa Kenya William Ruto, ametaka hatua kali zichukuliwe, dhidi ya waliosababisha Kifo cha Mwanablogu Albert Ojwang.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania