#HABARI: Huku joto la uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027 likiendelea kupanda nchini Kenya, Rais William Ruto amemfokea aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua akiutaja upinzani hauna ajenda yoyote ile ya kumwondoa mamlakani kwenye uchaguzi mkuu ujao.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania