#HABARI: Happiness Chacha (36), mkazi wa Morembe, anayedaiwa kumwokota mtoto mchanga mwenye umri wa wiki moja, katika Mtaa wa Morembe, eneo la Kituo cha Mabasi Bweri, Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, aliyetelekezwa na mama yake mzazi na kuacha ujumbe wa maandishi kuwa “ameshindwa kumlea kwa sababu ya ugumu wa maisha na yeye ni mwanafunzi”, ameiomba Serikali impatie mtoto amlee kwa kuwa yeye hana uwezo wa kuzaa na aliachika kwenye ndoa yake kwa sababu ya kukosa mtoto.
#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.