#HABARI: Chama cha Madereva wa Serikali Nchini, Mkoa wa Mbeya, kimeiomba Serikali kuweka sheria rafiki kwao hususani utoaji wa bima za vyombo vya usafiri na leseni, ili kuwawekea mazingira rafiki katika kutimiza majukumu yao ya kuitumikia Serikali.
Ombi hilo limetolewa kwenye mkutano kati ya madereva wa Serikali kupitia chama hicho na Jeshi la Polisi lenye dhamana ya kusimamia huduma hizo.
#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania