#HABARI: Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, leo Mei 8, 2025 limesimama kwa takriban dakika moja kumuombea marehemu Cleopa…

#HABARI: Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, leo Mei 8, 2025 limesimama kwa takriban dakika moja kumuombea marehemu Cleopa David Msuya aliyefariki dunia jana Mei 7, 2025.

Cleopa aliyeshika nyazifa mbalimbali nchini ikiwemo Waziri Mkuu, alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 94 katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *