#HABARI: Bi. Night Nyerere(27) mkazi wa Kijiji cha Nyahera, Kata ya Tai Wilaya ya Rorya mkoani Mara pamoja na mtoto wake mwenye umri wa mwaka mmoja, wamejeruhiwa kwa kukatwa katwa na kutobolewa na panga maeneo mbalimbali ya mwili na mume wake Jocobo Ngoro, kwa madai ya kukataa kuishi naye bila kumtolea mahari na kwamba familia ya muwe huyo haina maadili.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania