#HABARI: Baadhi ya wanaume wilayani Karatu, mkoani Arusha, wamelalamikia tabia ya baadhi ya wanawake wanaochukua mikopo kwa siri…

#HABARI: Baadhi ya wanaume wilayani Karatu, mkoani Arusha, wamelalamikia tabia ya baadhi ya wanawake wanaochukua mikopo kwa siri…

#HABARI: Baadhi ya wanaume wilayani Karatu, mkoani Arusha, wamelalamikia tabia ya baadhi ya wanawake wanaochukua mikopo kwa siri katika taasisi za fedha, zisizo rasmi maarufu kama kausha damu, bila kuwashirikisha waume zao na kuwasababishia hasara ikiwemo kufilisiwa mali zao na familia kuvunjika pindi wanaposhindwa kurejesha mikopo hiyo.

#itvdigital #itvupdates #itvtanzania.

#follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *