#HABARI: Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro, wakiwemo Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamesitisha shughuli zao kwa muda katika maeneo tofauti ili kushuhudia mubashara kesi ya Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, huku wakitoa maoni yao kuhusu uamuzi huo mahakama.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania