#HABARI: Baadhi ya wababa wa Mkoa wa Singida, wenye tabia za kutekeleza familia zao kwa sababu mbalimbali, ikiwemo watoto kumwacha baba na kuhamia kwa mama, wametakiwa kucha kitendo hicho na kutatua changamoto hiyo, kwani baba ndio muhimili wa nyumba na ndiye anaye ijenga familia kuwa na maadili mzauri na bora.
#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.