#HABARI: Asasi za kiraia nchini zimetakiwa kuweka mikakati ya kupunguza utegemezi wa misaada na fedha za wahisani, kutoka nje ya nchi na badala yake zianze kujitegemea na kufanya miradi inayogusa maisha ya Watanzania moja kwa moja na kuleta mabadiliko chanya.
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Azaki nchini, Bw. Justice Rutenge, Mjini Arusha, katika kilele cha wiki ya Azaki.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania