#HABARI: Aliyekuwa Mkurugenzi tendaji wa Halimashauri ya Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma Bi. Zainab Suleiman Mbunda na wenzake watano wamefikishwa katika mahakama ya Wilaya hiyo kwa tuhuma mbalimbali za uhujumu uchumi ikiwemo ubadhilifu na ufujaji wa mali ya umma.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania