#CRDBBankFederationCup: “Tunakwenda kuzima kelele za Yanga” maneno ya mmoja wa mashabiki wa Simba akizungumza kutokea katika dim…

#CRDBBankFederationCup: “Tunakwenda kuzima kelele za Yanga” maneno ya mmoja wa mashabiki wa Simba akizungumza kutokea katika dim…

#CRDBBankFederationCup: “Tunakwenda kuzima kelele za Yanga” maneno ya mmoja wa mashabiki wa Simba akizungumza kutokea katika dimba la Tanzanite Kwaraa Manyara kuelekea mechi ya kesho ya nusu fainali ya #CRDBBankFederationCup kati ya Simba SC dhidi ya Singida Black Stars.

Mechi itapigwa saa 9:30 alasiri na itakuwa LIVE #AzamSports1HD

#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #SimbaSC #SingidaBlackStars #SimbaSingidaBS

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *