#CRDBBankFederationCup: “Sisi tulimwambia kocha atufikishe nusu fainali tu” sehemu ya maneno ya mmoja wa mashabiki wa Simba SC, …

#CRDBBankFederationCup: “Sisi tulimwambia kocha atufikishe nusu fainali tu” sehemu ya maneno ya mmoja wa mashabiki wa Simba SC, …

#CRDBBankFederationCup: “Sisi tulimwambia kocha atufikishe nusu fainali tu” sehemu ya maneno ya mmoja wa mashabiki wa Simba SC, ambaye anasema Kocha Fadlu Davids amewapa mshangao baada ya kuwafikisha fainali kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na anaamini kesho watashinda dhidi ya Singida BS.

Simba kesho itashuka dimbani kucheza mechi ya nusu fainali ya #CRDBBankFederationCup dhidi ya Singida Black Stars.

Mechi itapigwa saa 9:30 alasiri na itakuwa LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz))

#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #SimbaSC #SingidaBlackStars #SimbaSingidaBS

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *