#CRDBBankFederationCup: “Namtazama Simba kwa jicho la timu komavu zaidi kwenye hii michuano” sehemu ya maneno ya mchambuzi wa so…

#CRDBBankFederationCup: “Namtazama Simba kwa jicho la timu komavu zaidi kwenye hii michuano” sehemu ya maneno ya mchambuzi wa so…

#CRDBBankFederationCup: “Namtazama Simba kwa jicho la timu komavu zaidi kwenye hii michuano” sehemu ya maneno ya mchambuzi wa soka @salama_ngale akiuchambua mchezo wa leo wa nusu fainali ya CRDB Bank Federation Cup kati ya Simba SC dhidi ya Singida BS.

Mchambuzi @leomusikula_tz anawaambia Singida BS leo wajitahidi kupiga shuti langoni

Mechi itapigwa saa 9:30 alasiri na itakuwa LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #SimbaSC #SingidaBlackStars #SimbaSingidaBS

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *