#CRDBBankFederationCup: Mtangazaji @hassanahmedy_ anausubiri muda tu ili kuongoza uchambuzi kutokea katika dimba la Tanzanite Kwaraa.
Ni kuelekea mechi ya nusu fainali ya CRDB Bank Federation Cup kati ya Simba SC dhidi ya Singida BS.
Mechi itapigwa saa 9:30 alasiri na itakuwa LIVE #AzamSports1HD
(Picha na @sayeed_saleh18)
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #SimbaSC #SingidaBlackStars #SimbaSingidaBS