#CRDBBankFederationCup: Mpiga picha jongefu wa #AzamTV @sayeed_saleh18 akihakii kifaa chake cha kazi.
Ni kwa ajili ya mechi ya nusu fainali ya CRDB Bank Federation Cup kati ya Simba SC dhidi ya Singida BS.
Mechi itapigwa saa 9:30 alasiri na itakuwa LIVE #AzamSports1HD
(Picha na @sayeed_saleh18)
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #SimbaSC #SingidaBlackStars #SimbaSingidaBS