#CRDBBankFederationCup: “Mashindano ambayo tumefanya vizuri mpaka sasa msimu huu ni mashindano ya CRDB” sehemu ya maneno ya Afis…

#CRDBBankFederationCup: “Mashindano ambayo tumefanya vizuri mpaka sasa msimu huu ni mashindano ya CRDB” sehemu ya maneno ya Afis…

#CRDBBankFederationCup: “Mashindano ambayo tumefanya vizuri mpaka sasa msimu huu ni mashindano ya CRDB” sehemu ya maneno ya Afisa Habari wa Singida Black Stars, Hussein Massanza akizungumzia safari yao kwenye michuano ya CRDB Bank Federation Cup ambapo kesho watamenyana na Simba SC kwenye mtanange wa nusu fainali.

Mechi itapigwa saa 9:30 alasiri na itakuwa LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz))

#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #SimbaSC #SingidaBlackStars #SimbaSingidaBS

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *