CRDB BANK FEDERATION CUP | “…hatuwaogopi…tukiwakosakosa, basi goli tanno”
Mashabiki wa Yanga Tanga wako tayari kuipokea timu hiyo huku wakitoa mikwara kwa JKT Tanzania kwamba eti “…hadi chai ya nazi ipo Tanga”
Mechi ni Jumapili, Mei 18 saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #Tanga #YangaSC #JKTTanzania