“Cleopa Msuya ameitumikia nchi hii kwa uaminifu na kwa moyo wake wote, nchi hii haingeweza kuepuka kumtumia mtu mwenye ujuzi, mtu mwenye uwezo na mtu mwenye ufahamu” Mzee John Samwel Malechela – Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Tanzania.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow RadioOneStereo