Skip to content

LTV

Habari na burudani

Category: NEWS

NEWS

Afrika Kusini: Volodymyr Zelensky anatarajiwa kwa mara ya kwanza mjini Pretoria

mizozovisanamikasaApril 24, 2025

Ofisi ya rais wa Afrika Kusini imetangaza ziara ya Volodymyr Zelensky mjini Pretoria siku ya Alhamisi, Aprili 24. Mkutano huu…

NEWS

Cote Dvoire: Chama kikuu cha upinzani chaitisha maandamano

mizozovisanamikasaApril 24, 2025

Nchini Cote Dvoire, chama kikuu cha upinzani PDCI kimeitisha maandamano mbele ya Mahakama hivi leo, kulaani hatua ya kuondolewa kwa…

NEWS

DRC: Kifungo cha miaka 20 jela chaombwa kwa Waziri Mkuu wa zamani Matata Ponyo

mizozovisanamikasaApril 24, 2025

Nchini DRC, hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela imeombwa dhidi ya Augustin Matata Ponyo Mapon siku ya Jumatano, Aprili…

NEWS

Ziara ya Zelensky Afrika Kusini itachukuliwaje na Trump?

mizozovisanamikasaApril 24, 2025

Chanzo cha picha, Reuters Maelezo ya picha, Rais Ramaphosa na mwenzake wa Ukraine Zelensky Maelezo kuhusu taarifa Author, Farouk Chothia…

NEWS

Tanzania yapiga marufuku bidhaa zote za kilimo kutoka Afrika Kusini na Malawi

mizozovisanamikasaApril 24, 2025

Chanzo cha picha, KL Maelezo ya picha, Waziri wa Kilimo wa Tanzania, Hussein Bashe Tanzania imepiga marufuku rasmi bidhaa zote…

NEWS

Tetesi za soka Alhamisi: Villa wanafanya mazungumzo kuhusu uhamisho wa De Bruyne

mizozovisanamikasaApril 24, 2025

Chanzo cha picha, Getty Images Dakika 16 zilizopita Aston Villa wamefanya majadiliano ya ndani kuhusu uwezekano wa kumnunua kiungo wa…

NEWS

Ni kina nani wanataka kumpindua Traoré wa Burkina Faso na kwanini?

mizozovisanamikasaApril 24, 2025

Chanzo cha picha, Traoré Maelezo kuhusu taarifa Author, Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutoka BBC Dar es Salaam Dakika 2 zilizopita…

NEWS

Vita vya kibiashara: Beijing iko wazi kwa majadiliano na Washington

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza siku ya Jumanne, Aprili 22, kwamba anataka kuhitimisha makubaliano “kwa kiasi kikubwa” kupunguza ushuru…

NEWS

M23 yajiondoa kwenye mazungumzo na serikali ya Kongo chini ya upatanishi wa Qatar

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Waasi wa M23 wamesitisha ushiriki wao katika mazungumzo ya moja kwa moja na serikali ya Kongo huko Doha, nchini Qatar.…

NEWS

Uganda: Mkuu wa jeshi akutana na wanamgambo wa Codeco wa Kongo

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Jenerali Muhoozi Kainerugaba, Mkuu wa majeshi na mtoto wa rais Yoweri Museveni, amekutana siku ya Jumanne, Aprili 22, karibu na…

NEWS

‘Nimefanyiwa upasuaji mara 100 na siachi’ – upasuaji wa urembo wavuma China

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Maelezo ya picha, Abby Wu, ambaye amefanyiwa upasuaji zaidi ya 100, ni mmoja wa waathiriwa wa kwanza wa upasuaji wa…

NEWS

Papa Francis: Mambo 6 ambayo huyajui kuhusu kiongozi huyu wa kidini

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Papa Francis Dakika 34 zilizopita Papa Francis, mzaliwa wa Jorge Mario Bergoglio,…

NEWS

Kwa nini kunywa maji mengi kupita kiasi kunaweza kuhatarisha maisha?

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Kiasi cha maji unachohitaji hutegemea mambo kadhaa, kama vile umri wako, jinsia,…

NEWS

Maelfu ya watu wanatarajiwa kuanza kuuaga mwili wa Papa Francis

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Mwili wa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis, utapelekwa kwenye Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican, ambako maelfu…

NEWS

Mjadala umeanza kuhusu makadinali wanaoweza kumrithi Papa Francis

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Wakati huu Vatican ikiwa imeanza maandalizi ya mazishi ya aliyekuwa kiongozi wake Papa Francis ambaye atazikwa wikendi hii, tayari mjadala…

NEWS

Upinzani waripoti kushambuliwa tena na wanajeshi wa serikali

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Upinzani nchini Sudan Kusini umewashtumu wanajeshi wa serikali kwa kushambulia ngome yake, karibu na jiji kuu Juba, siku ya Jumanne,…

NEWS

Côte d’Ivoire: Mahakama yamuondoa kiongozi wa upinzani kwenye orodha ya wapiga kura

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Mahakama ya Mwanzo ya Abidjan, nchini Côte d’Ivoire, siku ya Jumanne, Aprili 22, imeagiza kuondolewa kwa Tidjane Thiam kwenye orodha…

NEWS

Madagascar: Emmanuel Macron anataka kuthibitisha jukumu la Ufaransa katika Bahari ya Hindi

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Emmanuel Macron amewasili Antananarivo, mji mkuu wa Madagascar leo Jumatano, Aprili 23, kwa ziara kiserikali ya siku mbili. Baada ya…

NEWS

Kevin Farrell, rafiki wa karibu wa Papa Francis, kukaimu nafasi ya papa

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Tangu kifo cha Francis, amekuwa mtu mashuhuri. Kadinali Mmarekani mwenye asili ya Ireland Kevin Farrell, kama Camerlengo, anawajibika kusimamia masuala…

NEWS

Ukraine: Mazungumzo mapya mjini London juu ya kusitisha mapigano, bila matumaini makubwa

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Vita nchini Ukraine na njia za kufikia usitishaji vita na Urusi ni ajenda ya mkutano wa leo Jumatano, Aprili 23,…

NEWS

Tamasha la “Congo Solidarity” lafanyika jijini Paris

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Hatimaye Tamasha la “Congo Solidarity” limefanyika Jumanne Aprili 22, katika Ukumbi wa Accor Arena, mjini Paris Ufaransa (baada ya kuahirishwa…

NEWS

Mashariki mwa DRC: Umoja wa Mataifa unaripoti ongezeko kubwa la unyanyasaji dhidi ya wanawake

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, bado liko katika mzozo wa vita. Hali hii ina madhara makubwa…

NEWS

Kenya: Rais William Ruto yuko China kwa ziara ya kiserikali

mizozovisanamikasaApril 23, 2025

Rais wa Kenya William Ruto amewasili Beijing siku ya Jumanne jioni, Aprili 22, kwa ziara ya kiserikali itakayoendelea hadi Aprili…

NEWS

Ujerumani yaongoza pingamizi dhidi ya ushuru wa magari wa Trump, ikisema ‘haitakubali’

mizozovisanamikasaMarch 27, 2025

Chanzo cha picha, Getty Images Ujerumani imesema “haitakubali” na kwamba Ulaya lazima “ijibu kwa uthabiti” huku Rais wa Marekani Donald…

NEWS

Kuzuiliwa kwa Riek Machar kunahitimisha makubaliano ya kusitisha vita vya wenyewe kwa wenyewe – SPLM/IO

mizozovisanamikasaMarch 27, 2025

Chanzo cha picha, Reuters Maelezo ya picha, Riek Machar Kuzuiliwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Riek…

NEWS

Sababu za Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina kufuata muelekeo sawa na wa utawala wa Kizayuni dhidi ya HAMAS

mizozovisanamikasaJanuary 5, 2025

  Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeendelea kufuata muelekeo sawa na wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi…

NEWS

Utawala wa Kizayuni wakiri kuuliwa wanajeshi wake zaidi ya 800 na kujiuwa wengine 28

mizozovisanamikasaJanuary 5, 2025

  Ikiwa imepita siku 456 tangu Israel ianzishe vita dhidi ya Gaza, utawala huo umekiri kuhusu baadhi ya maafa na…

Biden kutuma shehena ya silaha kwa Israel
NEWS

Biden kutuma shehena ya silaha kwa Israel

mizozovisanamikasaJanuary 5, 2025

  Vita vya Urusi na Ukraine: Matukio matano muhimu ya faida na hasara kwa Putin 2024 Chanzo cha picha, Reuters…

Vikosi vya Guatemala vyawasili Haiti kupambana na magenge ya uhalifu
NEWS

Vikosi vya Guatemala vyawasili Haiti kupambana na magenge ya uhalifu

mizozovisanamikasaJanuary 5, 2025

  Vita vya Urusi na Ukraine: Matukio matano muhimu ya faida na hasara kwa Putin 2024 Chanzo cha picha, Reuters…

Man Utd ‘wana wasiwasi sana, wanaogopa sana’ – Amorim
NEWS

Man Utd ‘wana wasiwasi sana, wanaogopa sana’ – Amorim

mizozovisanamikasaJanuary 5, 2025

  Vita vya Urusi na Ukraine: Matukio matano muhimu ya faida na hasara kwa Putin 2024 Chanzo cha picha, Reuters…

Posts navigation

Newer posts

Copyright © 2025 LTV | Verified News by Ascendoor | Powered by WordPress.