Baraza la Michezo (BMT) Jumapili hii, Juni Mosi pale katika ukumbi wa The Super Dome Masaki, kutoa tuzo kwa wanamichezo waliofanya vizuri kwa mwaka 2024.
Usiku huu wa tuzo kuanza saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.
Usikose kufatilia usiku huu ili kujua je ni wanamichezo gani kuondoka na tuzo.
#BMTAwards #Azamtvsports