🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, MEI 05, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, MEI 05, 2025
Habari na burudani
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, MEI 05, 2025
#HABARI: Wananchi zaidi ya 3,000 wamepata huduma ya bure ya matibabu ya macho, katika Hospitali ya Wilaya ya Siha, mkoani…
#HABARI: Mtoto wa kike (13) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi Ayatsea katika Kijiji cha Gidamara wilayani Babati mkoani…
“Kufunga mfumo wa kielektroniki ambao unawezesha magari kupimwa kwenye mizani bila kuwa na operator (human intervention). Hadi sasa, mizani 20…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, MEI 05, 2025
“Mheshimiwa Spika, jumla ya kilometa 52.5 za barabara za kupunguza msongamano wa magari Jijini Dar es Salaam zimejengwa kwa kiwango…
”Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi na kusheherekea tukio hili muhimu kwa Watanzania hususani wananchi wa kanda ya…
“….’commitment’ ya Serikali ni ile ile kuhakikisha mechi hii ya Fainali kati ya Simba na Berkane tarehe 27 mwezi huu,…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, MEI 05, 2025
“…mtandao wa Tiktok ndio mtandao pendwa wa watoto wetu wanafunzi, lakini ndio mtandao unaoongoza kwa maudhui mabaya, nini mkakati wa…
#HABARI: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega akiwasili Bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 05 Mei, 2025 kushiriki vikao vya Bunge…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, MEI 05, 2025
#HABARI: Polisi nchini Kenya eneo la Kuria Magharibi Kaunti ya Migori, wamewakamata watu watatu, wanaotuhumiwa kumrushia kiatu Rais William Ruto,…
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kwenye Usalama barabarani ili kuepuka ajali barabarani zenye uzembe kila kukicha..?
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, MEI 05, 2025
#HABARI: Rais wa Marekani Donald Trump amekanusha kuwa anafikiria muhula wa tatu wa urais, hatua ambayo wataalamu wanakubali kuwa ni…
🔴KUMEKUCHA: MATUMIZI YA AI KUKABILIANA NA UHALIFU… MEI 05, 2025
🔴SHAMBULIO LA KATIBU TEC, MAASKOFU WANG’AKA…MEI 05, 2025.
#KIPIMAJOTO: Maparachichi yenye sifa zote za kuingizwa sokoni kitaifa na kimataifa kuwa hatarini kuharibika kwa kukosa wanunuzi. Je, Mamlaka zinazohamasisha…
#HABARI: Kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Dkt. Biteko amewataka wananchi wa Tabora kutogawanyika kwa sababu yoyote ile huku akiwahimiza…
#HABARI: Rais William Ruto ameshambuliwa na kiatu kwenye mkutano wa hadhara katika eneo la Kehancha Kaunti ya Migori. Haijajulikana iwapo…
#HABARI: Zaidi ya vijana rika balehe 1,500 wakiwemo wanawake na wanafunzi, kutoka Kata Nne za Ichenjezya, Vwawa, Mlowo na Hasanga,…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU, MEI 04, 2025: RUTO ASHAMBULIWA NA KIATU
Kwa haya na Mengine mengi usikose kuungana nasi ifikapo Saa mbili kamili usiku. . Unaweza pia kutazama Taarifa yetu ya…
#HABARI: Watanzania wameombwa kudumisha amani kipindi hiki cha kuelekea katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba, 2025. Hayo yamebainishwa na Mwakilishi wa Sheikh…
#HABARI: Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, imetoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
#HABARI: “Mahitaji ya juu ya umeme katika Mkoa mzima wa Tabora ni megawati 28 na uwezo wa kuzalisha umeme Mkoa…
#HABARI: Mdogo wa Marehemu Pili ,Bi. Mwajuma Said,, amesema dada yake atazikwa kijijini kwao Mdaula, Morogoro, siku ya Jumanne ya…
#HABARI: Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamedai kuwa wataendelea kuandamana kwenda Ofisini kwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa…
#HABARI: “Ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kitaufanya Mkoa wa Tabora kuwa chanzo cha umeme cha…
Chanzo cha picha, EPA Takribani watu 14 wamepoteza maisha na 750 kujeruhiwa katika mlipuko mkubwa katika bandari moja muhimu ya…
Chanzo cha picha, Getty Images Dakika 16 zilizopita Liverpool itajaribu kumshawishi kiungo wa kati wa England Adam Wharton, 21, kuondoka…
Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, amezikwa katika Kanisa la Santa Maria Maggiore Basilica jijini Roma nchini Italia, baada…
Takriban watu 19 waliuawa na watu wenye silaha katika shambulio kwenye eneo la uchimbaji madini ya dhahabu katika jimbo la…
Marekani na Iran zinakutana nchini Oman siku ya Jumamosi kwa duru ya tatu ya mazungumzo muhimu kuhusu mpango wa nyuklia…
Vaticani inajiandaa kwa ajili ya mazishi ya Papa Francis, kiongozi wa kanisa Katoliki aliyeaga dunia mapema wiki hii yatakayofanyika Jumamosi…
Shirika la habari la Reuters limeweza kuoata nakala ya mapendekezo pingamizi kutoka maafisa wa nchi za Ulaya na Ukraine kuhusu…
Rwanda na jirani yake DRC zimekubaliana kufanyia kazi rasimu ya makubaliano ya amani ifikapo Mei 2 kufuatia miezi kadhaa ya…
Chanzo cha picha, BBC News Maelezo ya picha, Mchoro: Jaribio litazunguka Dunia kwa saa tatu kabla ya kurejea Duniani na…
Chanzo cha picha, Getty Images Ibada ya mazishi ya Papa Francis inafanyika leo Jumamosi katika Uwanja wa Mtakatifu Petro mjini…
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimelaani kitendo cha kukamatwa kwa wanachama wake kumi na watatu na kutawanywa kwa…
Leo Ijumaa, Aprili 25, ni Siku ya Kimataifa ya Malaria. Zaidi ya watu milioni 263 walipata ugonjwa huo mnamo 2023,…
Kwa nia ya kuimarisha uoto wa kimataifa na kukabiliana vilivyo na mabadiliko ya hali ya hewa, Umoja wa Mataifa ulipitisha,…
Donald Trump ametia saini agizo la kiutendaji siku ya Alhamisi, Aprili 24, lenye lengo la kufungua uchimbaji mkubwa wa madini…
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Marco Rubio anatarajiwa kushuhudia utiaji saini wa makubaliano kati ya DRC na Rwanda,…
Rais wa Ukaine Volodymyr Zelensky alikuwa Afrika Kusini siku ya Alhamisi Aprili 24. Alipokelewa na Rais Cyril Ramaphosa katika ikulu…