#AIBUYAKO: Leo tunaangazia wananchi watembea kwa miguu walivyobambwa wakivuka kwenye maeneo ambayo ni kingo za barabara bila kujali usalama wao.
Kipindi hiki kinapatikana pia kwenye mitandao yetu ya kijamii, Youtube na Facebook kwa anuani ya #ITVTanzania.