Taarifa ya Habari ya Asubuhi 18.06.2025

DIRA.BZ18 Juni 2025

Mapigano kati ya Israel na Iran yapamba moto kwa siku ya 6 bila dalili ya kusitishwa++++Viongozi wa G7 wakamilisha majadiliano bila ya uwepo wa Trump+++Afisa mmoja wa polisi nchini Kenya akamatwa kwa kumpiga risasi raia katika maandamano ya jana.

https://p.dw.com/p/4w7Dz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *