#HABARI: Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Kenya Eliud Lagat ambaye alikuwa mlalamishi katika kesi ya mahabusu aliyeuawa …

#HABARI: Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Kenya Eliud Lagat ambaye alikuwa mlalamishi katika kesi ya mahabusu aliyeuawa …

#HABARI: Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Kenya Eliud Lagat ambaye alikuwa mlalamishi katika kesi ya mahabusu aliyeuawa kwenye selo za polisi, amejiuzulu kwa muda ili kupisha uchunguzi unaoendeshwa na Mamlaka Huru ya Kuangazia Utendakazi wa Polisi. Lagat amesema amesema yuko tayari kutoa ushirikiano wowote kuhusu uchunguzi unaoendelea.

#Follow @radioonetanzania

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *