#HABARI: Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa aipongeza TBA kwa kutekeleza Miradi ya TAMISEMI kwa ufanisi.
Mhe. Mchengerwa ameyasema hayo katika ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa anafungua jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu pamoja na jengo la Halmashauri ya Mji Bariadi Mkoani Simiyu.
#Follow RadioOneStereo
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.