#HABARI: Baadhi ya watu waliofika katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu wakifuatilia kwenye Luninga kesi ya uhaini inayomkabili…

#HABARI: Baadhi ya watu waliofika katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu wakifuatilia kwenye Luninga kesi ya uhaini inayomkabili…

#HABARI: Baadhi ya watu waliofika katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu wakifuatilia kwenye Luninga kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA taifa, Mhe. Tundu Lissu ambayo inaendeshwa kwa njia ya mtandao ambapo hii leo ametangaza kuwaondoa mawakili wake wote na sasa anajitetea mwenyewe baada ta kuiambia mahakama hiyo ugumu wa maisha anayopitia gerezani kwa sasa.

#Follow @radioonetanzania

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *