#HABARI: Serikali imeagiza kuchukulia hatua kali za kisheria watumishi wa umma, wanaosambaza nyaraka za siri za Serikali, kwenye…

#HABARI: Serikali imeagiza kuchukulia hatua kali za kisheria watumishi wa umma, wanaosambaza nyaraka za siri za Serikali, kwenye…

#HABARI: Serikali imeagiza kuchukulia hatua kali za kisheria watumishi wa umma, wanaosambaza nyaraka za siri za Serikali, kwenye mitandao ya kijamii na kuzua hali ya taharuki, ambapo vitendo hivyo vinaichonganisha jamii na Serikali na kutoa mwanya kwa watu wasio na nia njema kuzua uongo na uzushi kwa lengo la kujinufaisha wenyewe.

#Follow @radioonetanzania

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *