#HABARI: Wakazi wa Mtaa wa Makulu Jijini Dodoma, wameiomba serikali kuingilia kati na kutatua migogoro ya ardhi ambayo imekuwa i…

#HABARI: Wakazi wa Mtaa wa Makulu Jijini Dodoma, wameiomba serikali kuingilia kati na kutatua migogoro ya ardhi ambayo imekuwa i…

#HABARI: Wakazi wa Mtaa wa Makulu Jijini Dodoma, wameiomba serikali kuingilia kati na kutatua migogoro ya ardhi ambayo imekuwa ikiongezeka kwa kasi, hali inayowafanya wananchi kushindwa kuendeleza maeneo yao licha ya serikali ikiwatahadharisha wananchi ambao wamekuwa wakijenga kiholela maeneo yasiyo rasmi.

Wakizungumza na #ITVDIGITAL baadhi ya wakazi wa Mtaa wa Makulu wamesema wanashindwa kuendeleza maeneo yao kutokana na kukidhiri kwa migogoro ya mara kwa mara,ambapo wameiomba serikali kuingilia kati.

#Follow @radioonetanzania

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *