#HABARI: Waziri wa Ujenzi Mhe

#HABARI: Waziri wa Ujenzi Mhe

#HABARI: Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega, amesema dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha kuwa foleni na msongamano wa magari Jijini Dodoma unapungua pamoja na kusisimua uchumi wa Mkoa huo kupitia huduma za usafiri na usafirishaji.

Mhe. Ulega amebainisha hayo leo wakati wa hotuba yake kwenye Mkutano wa hadhara wa Rais Samia, Nala Mkoani Dodoma, mara baada ya kutembelea na kukagua ujenzi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa Msalato pamoja na barabara ya mzunguko ya nje ya Jiji la Dodoma, akimshukuru kwa maelekezo na msukumu wake katika miradi ya ujenzi nchini.

#Follow @radioonetanzania

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *