#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mara limeteketeza hekari nne za mashamba ya bangi, yaliyokuwa yamelimwa maeneo tofauti katika Kitongoji cha Nyansirori Kijiji cha Mekomariro Wilaya ya Bunda mkoani Mara huku likiwashikilia watu wanne kwa tuhuma za kukutwa na majani makavu yanayodhaniwa kuwa ni dawa za kulevya aina bangi yenye uzito wa kilogramu 53.5.
#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.