#HABARI:Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah, amesema muelekeo wa mahakama ni kuona muhimili huo unakuwa imara katika kurekebisha mapungufu yaliyopo na kutenda haki kwa usawa ili kila mmoja aweze kupata haki stahiki anapo kwenda mahakamani.
#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.