#HABARI: Mtu mmoja mkazi wa Kijiji cha Olpopong, Kata ya Njoro, Wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara, anayefahamika kwa jina la Yoha…

#HABARI: Mtu mmoja mkazi wa Kijiji cha Olpopong, Kata ya Njoro, Wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara, anayefahamika kwa jina la Yoha…

#HABARI: Mtu mmoja mkazi wa Kijiji cha Olpopong, Kata ya Njoro, Wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara, anayefahamika kwa jina la Yohana Degera (29), ameuwawa kwa kushambuliwa na Tembo, wakati akielekea kuchota maji na baiskeli katika Bwawa la Chapasei.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *