#HABARI: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Bw

#HABARI: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Bw

#HABARI: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Bw. Stephen Wasira, amesema Serikali itasaini mkataba wa ujenzi wa mradi mkubwa wa masoko mawili ya Manzese “A” na Manzese “B” katika Manispaa ya Songea, kabla ya kuvunjwa kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *