#MICHEZO: Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya mchezo wa Derby Kati ya mwenyeji Yanga vs Simba na zoezi la tiketi likiwa halijatangazwa mpaka sasa, @hoseamchopa amezungumza na aliyekuwa Mkurugenzi wa Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji na Wanachama, Eliudi Peter Mvela ambaye anadai kuwa hakuna uwezekano wa mechi kuwepo kama Bodi Ya Ligi au TFF watataka suluhu na Yanga pasipo chombo cha ziada kati yao.
Anaamini baada ya suluhu mchezo sio mbaya ukapangiwa tarehe nyingine.
#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.