#HABARI: Vigogo wanne wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mbeya, wameachia nafasi zao za uongozi na kwenda …

#HABARI: Vigogo wanne wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mbeya, wameachia nafasi zao za uongozi na kwenda …

#HABARI: Vigogo wanne wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mbeya, wameachia nafasi zao za uongozi na kwenda kuusaka Ubunge pindi wakati utakapofika na chama hicho kimetangaza rasmi makada wake kujitokeza kuwania nafasi za Udiwani na Ubunge.

#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *