#HABARI: Siku moja baada ya kusambaa kwa picha mjongeo kupitia mitandao ya kijamii ilichapishwa kichwa cha habari kinachodai “Mk…

#HABARI: Siku moja baada ya kusambaa kwa picha mjongeo kupitia mitandao ya kijamii ilichapishwa kichwa cha habari kinachodai “Mk…

#HABARI: Siku moja baada ya kusambaa kwa picha mjongeo kupitia mitandao ya kijamii ilichapishwa kichwa cha habari kinachodai “Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Tabora, amuomba msamaha Heche baada ya vurugu” Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, linawataka wananchi wote kupuuzia taarifa hizo za upotoshaji na kwamba mtu huyo anayefahamika kwa jina la Daudi Paulo Delim, mkazi wa Wilaya ya Igunga, si afisa yeyote wa jeshi hilo na kwa sasa ameshakamatwa kwa ajili ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *