#HABARI: Chama cha Allance for Democratic Change (ADC), kimeitaka Serikali kuanza kuchimba mafuta ambayo yapo sehemu nyingi hapa nchini, ili kupunguza gharama za uagizaji nishati hiyo na kuanza kuitumia nishati hiyo ya kwetu kwa manufaa ya nchi kabla ya magari na mitambo mbalimbali inayo tumia mafuta kubadilishwa na kuanza kutumia umeme.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania