#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dk. Juma Homera, ameliagiza Jeshi la Polisi, kumsaka na kumkamata mtu mmoja aitwaye Issa Mwasinyaga, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Katela kilichopo Kata ya Makwale, wilayani Kyela, anayedaiwa kufunga baadhi ya barabara zinatumiwa na wananchi wa Kijiji hicho, kuwapiga wanafunzi wakati wakienda shule na kuwatishia kuwaua kwa bunduki hali ambayo imesababisha taharuki na amani kutoweka kijijini hapo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania