#HABARI: “Naomba ndugu zangu waandishi wa Habari nichukue nafasi hii kuwaambia Watanzania, katika kipindi cha kuanzia Januari mp…

#HABARI: “Naomba ndugu zangu waandishi wa Habari nichukue nafasi hii kuwaambia Watanzania, katika kipindi cha kuanzia Januari mp…

#HABARI: “Naomba ndugu zangu waandishi wa Habari nichukue nafasi hii kuwaambia Watanzania, katika kipindi cha kuanzia Januari mpaka Disemba mwaka 2024, kampuni ya DP World, ambayo uwekezaji wake ulikuja na maneno mengi yaliyotulazimu tusilale kutoa ufafanuzi imefanya uwekezaji wa awali katika maeneo mbalimbali ya uendeshaji ili kuongeza ufanisi wa huduma za bandari……”-Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msingwa.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *