#HABARI: Moto mkubwa ambao chanzo chake hakijafahamika umezuka katika soko la Buseresere, Wilaya ya Chato mkoani Geita usiku wa kuamkia leo na kuteketeza maduka kumi na saba pamoja na stoo za kuhifadhia bidhaa na kusababisha wafanyabiashara hao kupata hasara kubwa zikiwemo fedha zao zilizokuwa zimehifadhiwa ndani ya maduka hayo kuteketea na moto wakiiomba Serikali kuwapatia gari la zimamoto katika mji wa kibishara wa Katoro ili kudhibiti majanga ya moto.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania