#HABARI: Uchunguzi wa mwili wa Mwanablogu Albert Ojwang aliyefariki katika selo za kituo cha Polisi cha Central jijini Nairobi, umeonesha kuwa alipigwa hadi kufa, Bunge la kenya limetaka wahusika kuwajibishwa na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Eliud Lagat ajiuzulu.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania