“….sisi humu ndani sio Wahuni ni Waheshimiwa tuna familia….Mhe

“….sisi humu ndani sio Wahuni ni Waheshimiwa tuna familia….Mhe

“….sisi humu ndani sio Wahuni ni Waheshimiwa tuna familia….Mhe. Spika sisi tumepewa heshima ya kupita VIP, lakini nataka kujiuliza ukienda pale VIP mkishuka kwenye gari kama huna hela inabidi mgawanyike, Mwanamke apite huku Mwanaume apite huku….ile heshima ya VIP hasa kwenye hizi sehemu tunazopita ni mbaya sana kumtenganisha mtu na mwenzi wake….” Mbunge wa Geita Vijijini – Joseph Musukuma

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *