#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Juni 10, 2025, Dkt

#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Juni 10, 2025, Dkt

#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Juni 10, 2025, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepokea gawio kutoka kwa mashirika ya umma na taasisi za Serikali katika halfa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, Ofisi ya Msajili imefanikiwa kutoa gawio la Sh1.28 trilioni kwa mwaka 2025, ikiwa ni ongezeko la asilimia 68 ikilinganishwa na mwaka 2024. Gawio hilo limetokana na mashirika ya umma 213 pamoja na kampuni ambazo serikali ina hisa chache na zote zipo chini ya usimamizi wa ofisi hiyo.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *