#HABARI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanikiwa kupata shilingi Mil. 2.7 katika kampeni ya Tone Tone wakiwa jijini Dodoma.
Chadema mbali na kuchangisha mchango huo, Makamu Mwenyekiti John Heche, aliendelea kuhamasiha kampeni yao ya No reforms No Election mjini humo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania