#MICHEZO: Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe wamemjibu Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, Almas Kasongo kwa kusema alificha baadhi ya mambo waliyowasilisha kwenye kikao cha leo Juni 9, 2025.
Kamwe amesema, wapo tayari kucheza dabi ya Kariakoo endepo Katibu Mkuu wa TFF na CEO wa Bodi ya Ligi watajiuzulu pamoja na kuvunjwa kwa Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Bodi ya Ligi.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania