#HABARI: Vyama vya Siasa vimetakiwa kufanya siasa za kiustarabu katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwan…

#HABARI: Vyama vya Siasa vimetakiwa kufanya siasa za kiustarabu katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwan…

#HABARI: Vyama vya Siasa vimetakiwa kufanya siasa za kiustarabu katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, kwa kunadi sera kwa wananchi badala ya kufitinisha, hali ambayo inaweza kusababisha kuvunjika kwa amani na utulivu ambao upa hapa nchini.

Wito huo umetolewa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kati Bw. Jackson Jingu, wakati akizungumza na waandishi wa habari na kusisitiza kuwa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu, kunahitajika kuendesha siasa nzuri kwa kuelezea sera ambazo zitaweza kuwashawishi wananchi kukichagua chama husika.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *