#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitan…

#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitan…

#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano na kimeongoza vizuri kwa kuleta maendeleo chini ya serikali iliyoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.

“Tuliomba ridhaa ya kuongoza Tanzania kwa miaka mitano, tumeiongoza Tanzania, tumefanya kazi yetu vizuri halafu unatuambia tuahirishe, ahirisha wewe mambo yako sisi hatuwezi ng’o, sisi tunagombea, tumeshaweka wagombea, tumemuweka Daktari Samia Suluhu Hassan (mgombea urais kupitia CCM), tumemuweka Dk. Emmanuel Nchimbi (Mgombea Mwenza wa CCM).

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *